Pikipiki za Kuchaji Zawasili Tanzania

Pikipiki za Kuchaji Zawasili Tanzania

Kampuni ya Techno Roads Eye Tanzania kupitia mradi wake wa eMo Bodaboda, imezindua Pikipiki zinazotumia umeme. Yaani zinazochajiwa badala ya kutumia mafuta. Pikipiki hizi ni imara kwa ajili ya kazi na zinadumu kwa muda mrefu. Tazama video hapo...