Pikipiki za Kuchaji Tanzania

Faidika Zaidi na Bodaboda za Kuchaji

Kuwa Shujaa wa kutunza Mazingira kwa kutumia Pikipiki za kutumia umeme. Huhitaji tena gharama ya kujaza mafuta. Pikipiki hizi zitakuletea faida zaidi kwa gharama kidogo sana za nishati na matengenezo.

Unga mkono mapinduzi ya Kijani.

Tofauti za Pikipiki za kutumia mafuta ya petroli, piki piki zetu za kuchaji ni rafiki kwa mazingira. Hazitoi moshi wa carbon, wala hazipigi kelele. Hivyo kufanya mazingira yetu kuwa salama kabisa.

Inatumia Betri

Huhitaji mafuta wala oil. Ni mwendo wa kuchaji tu na kuanza safari.

Mwendo Hadi 90KM

Unaweza kuendesha kwa umbali wa hadi KM 90 bila kuchaji betri.

Inakimbia kwa Spidi

Bodaboda za kuchaji zinaweza kukimbia kwa kasi hadi ya KM60 kwa saa.

Super Features

Hazitoi Moshi, Ni Imara na Zinadumu.

Bodaboda zetu zimeundwa kwa ajili ya kupiga kazi. Zina nguvu na vifaa vyake ni imara. Hutaingia gharama za matengenezo kila mara. Zinatumia betri la Lithium lenye Volti 72. Unaweza kwenda umbali wa KM 90 bila kuchaji.

Kwanini Utumie Bodaboda za Umeme?

Waendesha Bodaboda Za Kuchaji Watapata Faida Zaidi Kuliko Za Kutumia Mafuta.

Pikipiki za kutumia umeme zinaokoa gharama za nishati na matangenezo kwa asilimia 60%. Hii itawafanya waendesha Bodaboda kupata faida zaidi kwenye kazi zao.

MAWASILIANO

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.

Kigamboni, Dar es Salaam

+255 653 708 429

contact@emobodaboda.co.tz

Tuandikie